Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
ooh My God!..nini hiki?
Zbar kuna nn?! Mbona mapunga wanapapenda sana?
Zbar kuna nn?! Mbona mapunga wanapapenda sana?
So finally jamaa kaamua kuwa open!
Zanzibar kuna Pepeta,Ubwabwa,Bokoboko,Wali,Pilau,Biryani nk
Zbar kuna nn?! Mbona mapunga wanapapenda sana?
Tunamsubiri Ben Kinyaia na wenzake wa Clouds waje kujitangaza.
Jamani kwani Ben anahitaji kujitangaza kwani?