Alwatan 20 Per.. apewa kichapo cha haja na Polisi!

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,741
510
20.jpg

Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
 
View attachment 51141

Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
20% ndo alianzisha fujo akiwa amelewa chakali alichukua dem wa mtu baada ya kudakwa alimpigia Afande sele akaja na gheto boy wake wakaanza kupigana hapo hadi polic walipo fika nao wapigana nao hatimae wakakamatwa na kutupwa nondo
 
Attachments

  • Image0266.jpg
    Image0266.jpg
    86.4 KB · Views: 71
Polisi wa siku hizi sio mikono salama kabisa. Alikamatwa akiwa mzima kama anavyoonekana pichani, akaenda kupigiwa kituoni.
 
Back
Top Bottom