A-LUTA CONTINUA ACADEMY
Member
- May 4, 2019
- 18
- 34
Nilitaka kuhoji hiyo njano[emoji177] lakini nikauona sio mahali sahihi[emoji85]Ubarikiwe sana washindwe waoo tu
Nilitaka kuhoji hiyo njano[emoji177] lakini nikauona sio mahali sahihi[emoji85]
Hawawezi kushindwa kila mtu anapenda kwenda chuo[emoji91] [emoji91] [emoji91]Ubarikiwe sana washindwe waoo tu
Nashukuru kiongoz [emoji120] [emoji120] [emoji120]Imekaa poa sana.
Mkuu wala usiwaze ondoa hofu kabisa, ila kazi itafanyika na updates nyingi zitakua katika uzi huu wa A.C.AKila la kheri Mkuu, angalizo kwa wadogo zetu wa kike... [emoji38][emoji38]
Naaam mkuu yani Siku mbili bure. 0 cost akiwa haelewi free to move na akielewa lugha ninayo zungumza anakaribishwa sanaNimeipenda 2nd point: Mwanafunzi afike kituoni then asome 2 days ajiridhishe ufundishaji ndo aendelee kusoma.
Yes, elimu ni biashara but inatakiwa kuwa huduma zaidi. Furaha ya mwalimu bora ni kuona mwanafunzi anafaulu!
Best of luck mwalimu.
Wadogo zangu hima mkajiongezee chances za kutusua mabanda ya namba A level!
Naaam mkuu yani Siku mbili bure. 0 cost akiwa haelewi free to move na akielewa lugha ninayo zungumza anakaribishwa sana
Hii nimeiweka hivi kwanza kuweka uaminifu na kujiamini kwa kile ninachoenda kufundisha, [emoji120] [emoji120] [emoji120]
All in All hakuna mwanafunzi atakaye kuja na akatoka mtupu.
Nalifanyia kazi na nachukua kama onyo katika kipindi chote,Nawish ningekuwa nasoma manake bandiko lako linavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kufaulu
Cha msingi lengo liwe hilo hilo kufaulisha na kufundisha mwanafunzi alewe zaidi na sio kukariri...na iwe hivi siku zote,miaka yote,yani isiwe vile mkipata wanafunzi wengi mnaanza 'kulipua'
Kila la heri
Ushauri kutoka kwa gudume unazingatiwa[emoji120] [emoji120] [emoji120]Haya ndo Matumizi ya Wenye Akili ya Jamiiforums. I wish Vijana wengi tungekuwa na Akili hii badala ya yale mawazo mfu yasiyojenga Uchumi na Familia zetu.
Nakushauri sana. Zingatia suala la Nidhamu ya kazi. Usije ingiza mahusiano katika hiyo kazi yako ukaharibu kusudio Jema ulilolianzisha.
Imekaa poa sana.
Haka kaharufu katamu sana.Nashukuru kiongoz [emoji120] [emoji120] [emoji120]
aluta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila lakheri