Alunta continua

Alunta continua

250689

Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
32
Reaction score
4
habari zenu jamani wana jamii,mimi ni mwana jamii mchanga ..ila wito wangu ni kwa sisi sote kuhakikisha tuna ibua changamoto zitakazo pelekea mabadiliko chanya ktk jamii yetu.
 
karibu mwanajamii,,ila jina lako ntatamka kwa shida sana!
 
habari mwanaJF..karibu kwenye think big field.karibu utoe dukuduku lako na ku submit ur views.....karibu sana tushirikiane kuijenga TZ mpya........aluta continua....:hug:
 
Back
Top Bottom