Aluminium profiles

Aluminium profiles

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wadau naomba kujua aluminium profile zinazotumika kutengeneza milango na madirisha
 
Unataka kujua nini hasa, hapa tanzania zinapatikama zenye unene wa 8cm na 12cm lakini ambazo ni common ni 8cm na rangi zilizopo ni nyeusi, bronze, rangi ya mbao na silver.
Brands ni nying kuna fomeka, BN high quality, Emirates, na nyingine nyingi tu.
kama una swali la ziada uliza
 
1545764716593.png

Kati ya profile hizo hapo ni ipi inatumika kwa dirisha na ipi kwa mlango, Je unaitambua kwa namna gani. Aidha namaanisha DUBAI ALUMINIUM PROFILES ZA RANGI NYEUPE
 
1545765049979.png

AU katika hizo hapo, ipi ni kwa ajili ya madrisiha na ipi ni kwa milango?
 
View attachment 977318
AU katika hizo hapo, ipi ni kwa ajili ya madrisiha na ipi ni kwa milango?
Kulia vertical line zote tatu za mlango then ukianzia kulia kurudi kushto mtari wa kati ya pili pia ni mlango, zilizobaki zote dirisha, unatambua kwa jinsi zilivyotengeneza kuna Cill, Jam, mosquito, top, plain, hook zote hizi za dirisha, mlango una outer/Bottom, T, bidding, na Z.
So unazitambua kwa kuzitazama tu kwa jinsi zinavyoungwa upana wake na hayo meno na shape zake.
Iwe dubai au emirates au whatever the case zinafanana labda utakuta moja ina rangi inangáa zaidi ya nyingine na nyingine ina kishape kizuri kidogo
 
Shukran kwa ufafanuzi Mkuu
 
Hizo profiles zinakuwa na urefu wa inchi ngapi au futi au sentimeta ngapi
 
Kulia vertical line zote tatu za mlango then ukianzia kulia kurudi kushto mtari wa kati ya pili pia ni mlango, zilizobaki zote dirisha, unatambua kwa jinsi zilivyotengeneza kuna Cill, Jam, mosquito, top, plain, hook zote hizi za dirisha, mlango una outer/Bottom, T, bidding, na Z.
So unazitambua kwa kuzitazama tu kwa jinsi zinavyoungwa upana wake na hayo meno na shape zake.
Iwe dubai au emirates au whatever the case zinafanana labda utakuta moja ina rangi inangáa zaidi ya nyingine na nyingine ina kishape kizuri kidogo
Ili uweze kutengeneza madirisha/milango ya aluminium unatakiwa uwe na vifaa /machine zipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine ya kukata profiles ni sawa na zile mashine za kukata angle za mbao kwa 45 degrees, meza, drill, na screw drivers bass ndo muhimu
[emoji15] [emoji15] nashukuru mkuu,nilidhani kuna heavy machines zinatumika. Unaweza ukanitajia bei ya hivyo vifaa (hata kwa kukadiria mana najua bei lazima zitatofautiana kulingana na location)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] nashukuru mkuu,nilidhani kuna heavy machines zinatumika. Unaweza ukanitajia bei ya hivyo vifaa (hata kwa kukadiria mana najua bei lazima zitatofautiana kulingana na location)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna brand nyingi na bei zinatofautiana hizo mashine za kukata profiles kuna za lak 3, 6, 8, 1.2 mpaka 2, drill kuna za 50000 mpaka 300000. drill kuna za kutobolea profile na kutoboa ukuta mna kutindua. hizo mashine za lak 3 znaungua haraka
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] nashukuru mkuu, ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kujua nini hasa, hapa tanzania zinapatikama zenye unene wa 8cm na 12cm lakini ambazo ni common ni 8cm na rangi zilizopo ni nyeusi, bronze, rangi ya mbao na silver.
Brands ni nying kuna fomeka, BN high quality, Emirates, na nyingine nyingi tu.
kama una swali la ziada uliza
Hivi Mkuu/wakuu, kati ya aluminium za emirates na Dubai ipi ni chuma bora? Na kwa nini?
 
Back
Top Bottom