Gx 100 zipo zenye engine aina mbili. Ya kwanza ni 1G vvti name nyingine ni 1G ya kawaida ambayo haina vvti wanaiita 1G kavu. Kwenye kufunguka mapema engine ya 1G kavu ina accelerate mapena na haraka kuliko engine ya 1G vvti. Ulaj wa mafuta wa 1G kavu uko juu kuliko 1G vvti.
Ukija kwenye alteza, hiz zina engine tofauti, kuna zenye engine za 3s ambazo ni 4 cylinder cc 2000 na ambazo zina engine ya 1G vvti ambazo ni 6 cylinder. Hiz alteza zenye 1G vvti, engine zake hazina tofauti na zile za gx100 yenye 1G vvti.
Kama unapenda gar inayofunguka vilivyo unaweza ukachukua yenye engine ya 1G vvti ambayo consumption yake ya mafuta iko chin kidogo. Ila kama unataka inayofunguka kawaida na consumption ya mafuta nzur chukua alteza yenye engine ya 3s.
Uamuzi kwako mkuu