Alteza vs cresta gx 100

quresma

Member
Feb 8, 2012
32
2
poleni wana jamii kwa shughuli za kila siku na polen wana dar es kwa mafuriko
swali langu ni li gari zuri kwa safari za mbal mfano dar mwanza kati ya alteza na cresta
na lipi linatumia mafuta vzr na linaduma barabaran kwa muda mrefu kwatumizi ya kawaida
karibuni
 
Gx 100 zipo zenye engine aina mbili. Ya kwanza ni 1G vvti name nyingine ni 1G ya kawaida ambayo haina vvti wanaiita 1G kavu. Kwenye kufunguka mapema engine ya 1G kavu ina accelerate mapena na haraka kuliko engine ya 1G vvti. Ulaj wa mafuta wa 1G kavu uko juu kuliko 1G vvti.
Ukija kwenye alteza, hiz zina engine tofauti, kuna zenye engine za 3s ambazo ni 4 cylinder cc 2000 na ambazo zina engine ya 1G vvti ambazo ni 6 cylinder. Hiz alteza zenye 1G vvti, engine zake hazina tofauti na zile za gx100 yenye 1G vvti.
Kama unapenda gar inayofunguka vilivyo unaweza ukachukua yenye engine ya 1G vvti ambayo consumption yake ya mafuta iko chin kidogo. Ila kama unataka inayofunguka kawaida na consumption ya mafuta nzur chukua alteza yenye engine ya 3s.
Uamuzi kwako mkuu
 
asante mkuu wa ufafanuzi mzuri,mungu akubariki thanx
 
Matumizi ya mafuta ya Altezza na Cresta zenye injini ya aina moja (1G) hayatofautiani sana ikizingatiwa kuwa magari haya yana uzito unaolingana (tani 1.3), pamoja na kwamba Cresta ni kubwa. Kwa safari ndefu chaguo langu ni Cresta ambalo ni kubwa ndani ikilinganishwa na Altezza, ambayo kimsingi ni compact saloon. Kukaaa kiti cha nyuma kwenye Altezza kwa safari ndefu kama Dar-Mwanza ni mateso, hasa kwa watu warefu. Nafasi ya kuweka miguu (legroom) ni finyu mno.
 
Back
Top Bottom