ALTEZA CZN plate NO

ALTEZA CZN plate NO

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Iko in good condition full ac, lether seat redio iko poa haijawai kupata ajali

Nicheki whats app kwa picha na bei 0762908355
 
achana na mambo ya wasap, weka picha na bei hapa, au hilo gari huna?
 
Hizo apo picha na bei ni 9.5M maelewano yapo..
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1432674026473.jpg
    uploadfromtaptalk1432674026473.jpg
    42.6 KB · Views: 238
  • uploadfromtaptalk1432674064660.jpg
    uploadfromtaptalk1432674064660.jpg
    41.4 KB · Views: 228
Tangazo namba nyingine gari namba nyingine. . . . . .au hujui namba ya gari yako!!???
So ukiuza gari na mafuta pia huweki???!!!
 
Tangazo namba nyingine gari namba nyingine. . . . . .au hujui namba ya gari yako!!???
So ukiuza gari na mafuta pia huweki???!!!
maswali kibao,una pesa ya kununua?au bla bla tu,unamchosha mwenzio.
 
Back
Top Bottom