Alternative to Connectify hotspot

Alternative to Connectify hotspot

Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Posts
320
Reaction score
100
Wadau baada ya connectify kugeuka ngumu ku crack hasa version 5 nakuendelea. Naombeni mwenye software mbadala wake anisaidie nimejaribu virtual wifi router sijapata mafanikio yoyote.
 
Tumia hata virtual router ipo vizuri zaidi inarusha hadi connection za vpn
 
Tumia hata virtual router ipo vizuri zaidi inarusha hadi connection za vpn

Nimeijaribu hii ila nikakwama, nikatumia mhotspot naona hairushi za vpn. Naomba mwongozo kidogo jinsi ya kuitumia virtual router kwani kwangu haikubali kuconnect au kuna some setting sijazijua
 
Unatumiaje maana kabla hujairuhusu unachagua connection gani ya internet utumie halaf ndo unaianzisha
 
mi natumia mhotspot na inarusha pd proxy kama kawa hata kwa computer 20
 
wakuu naombeni msaada how do i use hiyo connectify natumia pd proxy kama internet connection yangu.
 
napenda nipaelewe hapa
jaman heb ajitokeze mdau anisimulie kidogo inakuaje kuhusiana na hotspot
 
mi natumia mhotspot na inarusha pd proxy kama kawa hata kwa computer 20

umeset vipi hii mhotspot ndugu, kwani mimi nikiconnect o kawaida inaonekana lakini huwezi kubrowse kupitia device nyengine
 
Wi-Fi Hotspot For Windows 8 Now Easy To Create
[1] Run COMMAND promt as ADMINISTRATOR.
[2] type Following Command to Check Driver is
Exist?:
netsh wlan show drivers
[3] Now Create Your HostedNetwork Configiration for
Hotspot WPAN: netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=janak
key=mykeyforwifi
[4] Start Your Hotspot so that other can access your
Wi-Fi in Laptop and SmartPhone:
netsh wlan start hostednetwork
 
umeset vipi hii mhotspot ndugu, kwani mimi nikiconnect o kawaida inaonekana lakini huwezi kubrowse kupitia device nyengine

mkuu ukishafanya installation run program as administrator...ukishafungua andika jina unalotaka...password unayotaka..kwenye share from chagua local network
 
Back
Top Bottom