Wadau kwa wale mnaotauta a complete alternative to idm solution imepatikana na hii ni kwa watumiaji wa firefox!!! kuna addon ya firefox inaitwa DownThemAll!! hii addon itakuwezesha kufanya vitu vingi ambavyo ungeweza kufanya na idm including fastdownloads!!!! resuming na much more!!! na ni free!!! wadau embu ijaribuni hiyo kitu alafu mpost feedback!!!!ni nouumaaaaa!!!!
fungua hapa kuidownload!!!!
fungua hapa kuidownload!!!!