...................also known as................

Ha ha ha ha mweh mia bana dah u made my day

yaani dena umeshindwa kutaja jina la kitu hata kimoja? jitahidi bana. kitu kinavyo julikana ndio aka yake. kwa mfano daladala ndivyo inavyo julikana kwako wewe lakini mwingine anawe akawa anaijua kwa jina lingine ambalo wewe hujui kwa mfano matatu. lile jina ujualo ndo aka. Mia
 
ubwabwa=ubeche,wali.
Pilau=mnuso/msosi/visherehe/.
Kujichua=kupiga nyeto,kupiga puli.
Kufanya mapenzi=kubandua/kufanya tendo la uumbaji/kumpa nao,kusex,kufanya matusi,n.k Nalog off
 
Chips/kiepe/kokoto/watoto wa kike
mpenzi/honey/sweety/sugar potato/dear
mzuri/pini/kifaa/cha ukweli
 
ubwabwa=ubeche,wali.
Pilau=mnuso/msosi/visherehe/.
Kujichua=kupiga nyeto,kupiga puli.
Kufanya mapenzi=kubandua/kufanya tendo la uumbaji/kumpa nao,kusex,kufanya matusi,n.k Nalog off

best ulikuwa wapi siku zote hizo? habari za mwaka jana? nlikumiss sana. karibu. Mia
 
Bangi aka ndumu, ganja, kijiti, jani...........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom