Alshabab wauwa mwanamke kwa kutavaa niqab!

Alshabab wauwa mwanamke kwa kutavaa niqab!

Status
Not open for further replies.

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Imenisikitisha sana!Taarifa hii nimetoa ukurasa wa fb wa Bbc Kiswahili, simu yangu ndogo kuweza kuweka link, mwenye kuweza atuwekee!


*************************************************************

Wanamgambo wa kiislamu wa Al Shabab wamempiga mwanamke mmoja risasi na kumuua kwa kukosa kujifunga niqab kichwani.
Jamaa za mwanamke huyo mwenyeji wa mji wa Hosingow kusini mwa Somalia wanasema mwanamke huyo alikataa kujifunika kitambaa kichwani kuambatana na sheria za dini ya kislamu .
''alikuwa ameonywa ajisitiri lakini wapiganaji hao waliporejea wakashikwa na hasira walipopata kuwa hakuwa amejifunika na hivyo wakampiga risasi''.
140701102924_niqab_512x288_bbc.jpg
Al Shabab yaua mama kwa kukosa Niqab


Jamaa zake wameiambia BBC kuwa Ruqiya Farah Yarow alikuwa amewafokea wapiganaji hao akiwataka waondoke kwake na kusema kuwa angejisitiri baadaye.
Kundi la Al Shabab linalomiliki asili mia kubwa ya maeneo ya Kusini na Katikati ya Somalia na limekuwa likishinikiza kutumiwa kwa sheria kali za kiislamu.
Hata hivyo msemaji wa kundi hilo amekanusha kuwa ni wao waliomuua mwanamke huyo .
Msemaji huyo anasema kuwa licha ya kudhibiti maeneo makubwa nchini humo kundi hilo bado halijatoa maelezo ya vipi wanawake wanastahili kujisitiri.
 
hebu edit kidogo habari yako.
BTW hawa alshabab wanajua kwamba kwao imebaki kufa tu so kuua pia sio shida
 

Wanamgambo wa kiislamu wa Al Shabab wamempiga mwanamke mmoja risasi na kumuua kwa kukosa kujifunga niqab kichwani.
Jamaa za mwanamke huyo mwenyeji wa mji wa Hosingow kusini mwa Somalia wanasema mwanamke huyo alikataa kujifunika kitambaa kichwani kuambatana na sheria za dini ya kislamu .
''alikuwa ameonywa ajisitiri lakini wapiganaji hao waliporejea wakashikwa na hasira walipopata kuwa hakuwa amejifunika na hivyo wakampiga risasi''.
140701102924_niqab_512x288_bbc.jpg
Al Shabab yaua mama kwa kukosa Niqab


Jamaa zake wameiambia BBC kuwa Ruqiya Farah Yarow alikuwa amewafokea wapiganaji hao akiwataka waondoke kwake na kusema kuwa angejisitiri baadaye.
Kundi la Al Shabab linalomiliki asili mia kubwa ya maeneo ya Kusini na Katikati ya Somalia na limekuwa likishinikiza kutumiwa kwa sheria kali za kiislamu.
Hata hivyo msemaji wa kundi hilo amekanusha kuwa ni wao waliomuua mwanamke huyo .
Msemaji huyo anasema kuwa licha ya kudhibiti maeneo makubwa nchini humo kundi hilo bado halijatoa maelezo ya vipi wanawake wanastahili kujisitiri.
 
wametimiza moja ya nguzo za dini yao na watazawadiwa kila mmoja mabira sabini na mbili siku ya kiama !
cc : faiza foxy
 
Last edited by a moderator:
wametimiza moja ya nguzo za dini yao na watazawadiwa kila mmoja mabira sabini na mbili siku ya kiama !
cc : faiza foxy

mkuu hzi dini nyingine majanga
 
Last edited by a moderator:
Hii ni aina mojawapo ya Jihad maana mwanamke huyo alikuwa anataka kuwazuia kuiona pepo.
 
Haya mambo Yesu aliyasema. Haya ndio matunda ya Nabii wa Uongo. Thanks Jesus


Matayo 7:15-20
Manabii Wa Uongo
[SUP]15 [/SUP]"Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. [SUP]16 [/SUP]Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? [SUP]17 [/SUP]Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. [SUP]18 [/SUP]Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. [SUP]19 [/SUP]Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. [SUP]20 [/SUP]Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom