Alphonce Mawazo: CCM hawaamini kama tuna akili.

Alphonce Mawazo: CCM hawaamini kama tuna akili.

sweya lugendo

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
56
Reaction score
22
Mwenyekiti wa chadema Mkoa wa Geita juzi alisema kitendo cha serikali kufanya maboresho ya daftari la mkazi kimya kimya na kwa maelekezo ya ccm ni upuuzi na kuwafanya wapinzani ni wajinga kupita kiasi.Mawazo aliyasema haya wakati anahitimisha ziara ya mkoa juzi iliyojumuisha majimbo sita ya mkoa huo."nimesikitishwa sana kuona eti zoezi limefika ukingoni bila ya wananchi kutangaziwa na combo chochote cha habari,wakurugenzi kwa kuamrishwa na waziri mkuu wanatumia mabalozi wa ccm kufanya zoezi la serikali.Wanabagua nani aandikishwe na nani adiandikishwe kwa kutazama itikadi,huu ni uchokozi na kutafuta fujo na vurugu kubwa,tuko tayari kupigania haki hii ya wananchi"alisema Mawazo ambaye yuko tayari uchaguzi uvurugike kuliko kukubali hujuma na dhuluma hiyo.
 
Chizi hawezi kumjua mwenye akili labda atashangaa tu kwa nini hafanani naye?
 
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
 
mawazo ubunge utausikia redioni tu...wana geita tumeshakugundua wewe ni tapeli
 
Waliyo mchagua mawazo kuwa mwenyekit labda ni vichaa Kama yeye

Alafu mawazo unapost na kukoment mwenyewe shida kweli
 
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...

mawazo ni kiboko ya interahamwe hapa Geita,Tunashirikiana naye bega kwa bega kuitokomeza ccm hapa mkoani kwetu.Wasukuma na wazinza kwa sasa tumejitambua na hatudanganyiki tena kwa tshirt na kanga za kijani! VIVA KAMANDA MAWAZO
 
mawazo ubunge utausikia redioni tu...wana geita tumeshakugundua wewe ni tapeli

geita hatuna wendawazimu kama wewe! Mawazo anasubiri muda tu aapishwe kama mbunge wetu. Nzala ya bhubi nose obuliheli ntweneki bhebhe!
 
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...

changudoa ni wewe unayetumikia mabwana 2,upo mguu mmoja act na mwingine ccm shauri ya njaa! Nyambaaaaf
 
Una wivu wa kike ww...au si ridhiki nini?hung hata robo wa ya mafanikio yako.
Hoja yako hapa ni ipi? Kama kawaida yenu hamuwezi kujibu hoja mnaishia kwenye mipasho na vioja. Mwenzenu Werema kaumbuka bungeni kwa kauli ya kipuuzi ya kuwabagua wazanzibari hadi kaomba akiinamisha kichwa chini kwa aibu.
 
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...

hivi wewe ni nani anakulinda humu jf ?
 
NARUDIA tena kutoa shukrani kwa viongozi na wachama wa cdm KWA KUMPANDISHA CHEO MH MAWAZO , HUYU NI MTU SAHIHI , MUNGU amlinde sana .
 
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
Mkuu kila mtu kwako ni chizi na kibaraka.. embu jiangalie usikute unamatatizo ya kisaikolojia yanakusumbua una aina flani ya uchangiaji hapa kwenye jukwaa wa ajabu kidogo..
 
Back
Top Bottom