Alphonce Mawazo amvaa Chenge-Bariadi

ninafikiria kupiga kambi bariadi mwezi wa 7 ili kumteketeza kabisa fisadi chenge , tuombe uzima .
 
hivi huyu A. Mawazo ndiye alikuwa diwani wa ccm kule Arusha akajiuzulu na kuhamia Chadema?
 
Ukimsema chenge vibaya vilaza wasojua chanzo cha ujinga na umaskini wao huumia sana.chadema ni kinywa cha mungu.
umeandika jambo zito kiasi ambacho kimenitetemesha , ishara ya malaika kushuka ili kusaidia ukombozi , Mungu akulinde mkuu .
 
hivi huyu A. Mawazo ndiye alikuwa diwani wa ccm kule Arusha akajiuzulu na kuhamia Chadema?
swadakta , huyu ndiye alikataa yale mambo ya madiwani wa ccm ya kuuza viwanja vya kuchezea watoto kwa mafisadi ( kumbuka kwamba hii ndio sifa kubwa ya diwani yeyote wa ccm )
 
Ukimsema chenge vibaya vilaza wasojua chanzo cha ujinga na umaskini wao huumia sana.chadema ni kinywa cha mungu.

Kinywa cha Mungu!!!? point yako nzuri lakini kwa hilo umeharibu kinyama Jamaa yangu.
 

Mawazo hamuwezi Chenge. Sana sana atatoa povu tu na hakuna atakachobadili. Labda anafanya mazoezi ya kuomba kura huko Geita.
 
hii post haieleweki umeandika mambo mengi mno kwa wakati mmmoja, mara chopa , mara mawazo mara chenge mara kugombea , hata haueleweki unataka kusema nini, mabavicha mnatabu sana.
 

Mawazo kazini Bariadi
 

Attachments

  • IMG_903508263784.jpeg
    68.8 KB · Views: 1,123
Kamanda Mawazo nakukubali sana mkuu tumia ile zana yako kuuwa huyo nyoka wa makengeza
 
Hongera kamanda Alphonce Mawazo, natamani ugombee jimbo hilo hilo tumtoe huyo mpumbavu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…