Unaiuza bei gani?Saaaaafi Kabisa, ukipata mteja nisaidie na Mimi kupata mteja wa Gari Yangu Extrail New model Namba EG
22m peke yakeUnaiuza bei gani?
Ni model ya mwaka gani?22m peke yake
Model ya 2010, ina sports rims, INA zile exhaust kubwa (bunda), INA mipira yenye hali nzuri (YoM 2022), Fog lights, insurance, serviced, four wheel option na nyingine nyingiNi model ya mwaka gani?
Ntumie pix kwa DM, ziwe clean kibiashara pamoja na specs unipe na location.Model ya 2010, ina sports rims, INA zile exhaust kubwa (bunda), INA mipira yenye hali nzuri (YoM 2022), Fog lights, insurance, serviced, four wheel option na nyingine nyingi
kwa nini mnanunua magari na kuyauza baada ya matumizi ya muda mfupi sana?Saaaaafi Kabisa, ukipata mteja nisaidie na Mimi kupata mteja wa Gari Yangu Extrail New model Namba EG
Kila MTU anakua na SABABU binafsi, siwezi kuwasemea! Karibu Ndugukwa nini mnanunua magari na kuyauza baada ya matumizi ya muda mfupi sana?