Alone but happy

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Wakati mwingine ni bora uwe mwenyewe{mpweke},vlakini mwenye furaha kama mimi kuliko kuwa na mwenzi wako(mpenzi), alafu kila siku maumivu mpaka unakosa raha.

Haujachelewa unaweza kuwa kama mimi na maisha yakaenda vizuri kabisa.

Alone but happy
 
Wewe sindie uliletaga thread hapa kuwa watafuta manzii imekuaje ujampata bado?
Maana naona alone but happy hayo yote nibaada ya kusearch weeeeeee na kumkosaeeee!!
Cc miss chagga my mutani njoo huku haraka sana Khantwe na wewe tupiamo jicho hapa faster kama google
 
Last edited by a moderator:
Wakati alishakuaja na uzi wake hapa kua anatafuta mchumba sijui mpenzi, kwani alikua ajajua kua Alone but happy au ndo kajitoa ufahamu
mtoa mada anapretend tu yupo happy....ata thread yake naona inamsaliti..
 
kama hivyo bora ukaishi porini,manake kama binadamu alokamilika huwezi kuaishi alone utavuta mda tuu lakini mwisho wa siku lazima uwe na mwenzio au wenzio wakukuliwaza au kupeana mawazo.............
 

"Sizitaki mbichi hizi"
 
Last edited by a moderator:
kweli nilitafuta sana ila baada ya kuöna kila nnaempata mzinguaji leo nimeona bora niwe alone wakuu
 
Hahahahahahahaha Tyta aminia sanaaaaa Khaleed Shaban embu pitia apa naona Tyta kakuletea Notes zakoeee
 
Last edited by a moderator:

naipenda kazi yako mkuu
 
Ukienda kinyume na nature lazima udate..Mungu mwenyewe alipomuumba Adam alimwona mpweke akaona kuna kitu kimepungua..mwenzi ni lazima ktk maisha vinginevyo lazima uzue scandal
 
Nahisi nikimuona mtoa mada ndo naweza kucomment.
Kwa sasa ngoja nikatafute maboga nile
 

siku ukimwagiwa tindikali ndio utaacha kihere here. lol
 

kama anavihela naomba kumpa kampani jamani kwa nini awe alone bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…