Almanusura mtoto atolewe kafara

Hao Askari kweli?

Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Taka taka kabisa
Kunakuaga na sungusungu sikuhiz nao wanapanda ktk difenda,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee huyu mwehu kweli akapimwe akili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo unazungumzia maji meupe au maji ambayo yakiwa mfano mtoni yanakuwa hayana rangi kwaiyo unaweza kuona vilivyomo ndani ya maji
 
Hao Askari kweli?

Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Taka taka kabisa
Wamejitahidi sana ulitaka waende kichwa kichwa kama pana kina kirefu wakafe wote wee vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Askari kweli?

Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Taka taka kabisa
Aisee! Yaani kuna watu mmejaa kejeli kwa kila kitu.
Mtu alikuwa na kisu na msumeno na ukiangalia hali ya mazingira ilivyo lakn mtoto kaokolewa akiwa salama lakn bado unalaumu..

Hayo ndio matatzo ya kukalilishwa matukio ya kwenye movie ya kuandaliwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…