Kwann ss au hakutaka damu irukie nguoWote wako uchi
Jr[emoji769]
Hadi nawonea huruma Hugo dogo,kuacha askari tayari angekuwa marehemu, Mshana kisa nn hadi anamtoa motto au utajiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana roho ngumu askari wote hao na bado ataki kukubali kua kibarua alichutumwa kukifanya kimemkataa..
Sent using Jamii Forums mobile app