Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,664
- 9,082
Ndoa Ndoano.
Sure but, maisha yalivyo siku hizi kufikia umamuzi huo ni rahisi sana ndugu. Kinachotusaidia ni kwa vile Mungu yupo na wenyewe kwa wenyewe kupeana moyo tuvuke changamoto.si angekufa kimya kimya tu kwann alipiga kelele?