Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,519
- 7,025
Alibadili katiba yule, hivyo anaweza kugombea tenaKaria hawezi kugombea tena, ashamaliza mihula miwili lakini ana ushahwishi mkubwa wa kupachika kiongozi anaemtaka
Alibadili katiba yule, hivyo anaweza kugombea tenaKaria hawezi kugombea tena, ashamaliza mihula miwili lakini ana ushahwishi mkubwa wa kupachika kiongozi anaemtaka
Amtafutie na wadhamini. Kiemba anafanya kazi nyepesi ambayo wengi wanaweza kuifanya, anaacha kazi ngumu ya kutafuta endorsementAmri Kiemba kamchukulia form Ally Mayai.