Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,625
- 43,901
Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga.
Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia fomu hiyo hii leo mchana tayari kwa kugombea nafasi hiyo kwenye uchanguzi mkuu wa Shirikisho la Soka nchini TFF.
Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia fomu hiyo hii leo mchana tayari kwa kugombea nafasi hiyo kwenye uchanguzi mkuu wa Shirikisho la Soka nchini TFF.