Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Alifeli ana decision 0 hawezi kuongoza TFF..msituletee mambo ya abajalo Sinza Hapa.tff ni kitu kikubwa.
 
Mwanzoni umesema unamjua vizuri.......mwishoni una malizia hujui hiyo division 0 ni ya form 4 au 6......umetumwa wewe.
 
Ila amecheza mpira kote taiga na yanga katika kiwabgi cha juu.ansujua Mpira..n MTU sahih
Huyu ni muhitimu wa Degree Na alikua Rais wa Chuo cha CBE Dar..

Siasa za majitaka hizi.
 
Hivi bado hatujifinzi tu hawa wasomi tunao wataka ndiyo wanao tuangusha kila siku.........

Kanuni za TFF zinasema mgombea awe amefika kidato cha nne ila hawajaweka uwe na division ngapi....

Kama cheti hata mwenye dv iv ya 32 anapata
 
Kweli wafitini na fitina zinaweza wekwa fitina hadi chooni ili usijisaidie.

Eeeh , watanzania tubadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…