mh!Hakuna aliyejuu ya sheria ,CCM ni mfano wa kuigwa kwa utawala wa sheria na utawala bora
USSR
Huu upuuzi mnaoleta humu kuna siku utakuja kuwatokea puani. Ni nani aliye juu ya sheria. Yaani Simba na Yanga wana uhuru wa kudhalilisha yeyote?
Kwa hiyo unataka kusema huyo Chacha ndiyo ana uhuru wa kudhalilisha wengine biala shaka! Kisa tu ni Mkuu wa Mkoa siyo!Huu upuuzi mnaoleta humu kuna siku utakuja kuwatokea puani. Ni nani aliye juu ya sheria. Yaani Simba na Yanga wana uhuru wa kudhalilisha yeyote?
Mmh Ali kamwe asiombe akutane na Afande okw boban sunzu kwenye hicho kituo cha polisi maana atapewa kesi ya kichwa😆Huu upuuzi mnaoleta humu kuna siku utakuja kuwatokea puani. Ni nani aliye juu ya sheria. Yaani Simba na Yanga wana uhuru wa kudhalilisha yeyote?
Yaani wewe ukiwa mkuu wa Mkoa uko juu ya sheria? ni kweli kwenye simu za wachezaji wa tabora kuna meseji za Yanga kutaka kuwahonga? mbona ile ni hamasa tu za mpira?Huu upuuzi mnaoleta humu kuna siku utakuja kuwatokea puani. Ni nani aliye juu ya sheria. Yaani Simba na Yanga wana uhuru wa kudhalilisha yeyote?
Ni kweli Yanga wana kiherehere? Mkuu gani wa mkoa anasema maneno kama hayo yaliyozoeleka kusemwa na mashabiki wa Simba na Yanga? Ameongea hivyo kama shabiki wa mpira au kama mkuu wa Mkoa?Huu upuuzi mnaoleta humu kuna siku utakuja kuwatokea puani. Ni nani aliye juu ya sheria. Yaani Simba na Yanga wana uhuru wa kudhalilisha yeyote?
Kule Mwanza mbona Ahmed Ally hakuwekwa ndani na Mtanda? Ukishindwa uwanjani unahamia polosi ikusaidie? chuki gani hii mbaya namna hii inatengenezwa kwenye taifa. Yaani hasira za Al-Masry na Tabora United mnatumia polisi. Sisi tunajua ile ahadi ya 70m ilikuwa imechangwa na akina nani kwa malengo gani. Mkuu wa Mkoa aangalie sana Yanga na Simba ni taasisi kubwa kuliko Mkuu wa ukuu wa mkoa. Hebu angalia idadi ya watu waliyotembea barabarani kuipokea na kuisindikiza Yanga ilipowasili Tabora. Hivi Mkuu wa Mkoa, Chacha anaweza kuwafanya watu kama wale wamsindikize au wampokee yeye akienda na kurudi safarini?Ally Kamwe tumeshamuonya mara nyingi kuwa ajue yeye ni kijana bado na kuna maisha baada ya usemaji wa Yanga. Anafanya vizuri katika kuisemea Yanga kuliko watangulizi wake lakini achunge ulimi wake utamuingiza matatizoni kama hivi.
Mashabiki wa Yanga hatuwezi kuandika upuuzi namna hii. Umefundishwa na wazazi wako kuwa mkubwa akikutania umrudishie tusi? Hawa wanaojiita wasemaje wadhibitiwe haraka wanaweza kuiingiza nchi kwenye machafuko.Kwa hiyo unataka kusema huyo Chacha ndiyo ana uhuru wa kudhalilisha wengine biala shaka! Kisa tu ni Mkuu wa Mkoa siyo!
Kitu ambacho ndugu Mwasibu hukifahamu ni kimoja tu! Kwenye haya maisha yetu ya kila siku, ukitaka kuheshimiwa na mtu yeyote yule, ni lazima uanze kwanza wewe mwenyewe kujiheshimu!
Sasa kama Mkuu wa Mkoa aliamua kujitoa ufahamu na hivyo kuingia kwenye malumbano na Yanga, ulitegemea hao Yanga wanyamaze? Mfano kama huyo Mkuu wa Mkoa angechagua kuwa neutral, na badala yake hayo malumbano ya kabla ya mechi yakaachwa kwa Ally Kamwe na Christina Mwagala; kuna mtu angemshambulia bila ya sababu?
Binafsi nadhani huyo RC alipata anachostahili. Na hata hiyo ishu ya kumshikilia Ally Kamwe bado ni kumpotezea tu muda. Ila hakuna kesi yoyote hapo.
Umemuonya wewe na nani?Ally Kamwe tumeshamuonya mara nyingi kuwa ajue yeye ni kijana bado na kuna maisha baada ya usemaji wa Yanga. Anafanya vizuri katika kuisemea Yanga kuliko watangulizi wake lakini achunge ulimi wake utamuingiza matatizoni kama hivi.
Na wote wanaomtakia mema.Umemuonya wewe na nani?