Ally Hemed: Kijana anayemfanya Lowassa kuonekana kama alivyo

Hembu acheni kumdalilisha mzee wa watu; inamaana unataka kutuambia kuwa kila analosema mzee wenu linatoka kwa huyu kijana? na mzee hana awezalo kufanya.
 
Yericko aliwahi kusema alikimbia kwa mguu toka Kigamboni hadi Dar

makosa kama haya huwa yanapunguza umakini wa kusoma mada iliyo mezani:confused:

Hizi ndizo "fake news" ambazo zilizungumzwa ktk mjadala wa juzi kuhusu madhara ya habari za uongo na jinsi ya kubaini habari feki.
 
Mdahalo wa DW: Vyombo vya Habari Dhidi ya Taarifa za Uongo : ulioandaliwa na Sauti ya Kiswahili Ujerumani DW madhara /Namna ya kubaini taarifa feki


Source : zaima TV
 
Aliyeandika ni majeruhi... kakipigania chama kwa kutaka alipwe cheo. Kimebuma. Anamuonea wivu Hemedi, anajiona kaachwa. Anawaangalia kina Malisa na Yeriko anadhan wanakipigania chama kwa njaa kama yeye...
Haaaaa haaaaa Vijana na Njaa
 
Aliyeandika ni majeruhi... kakipigania chama kwa kutaka alipwe cheo. Kimebuma. Anamuonea wivu Hemedi, anajiona kaachwa. Anawaangalia kina Malisa na Yeriko anadhan wanakipigania chama kwa njaa kama yeye...
na ndo lengo la mleta mada!!!

ila ccm imekosea timing
 
Punguzeni Uongo na kupeana sifa za kijinga!

Kungwi wa Lowassa kwny Siasa walikuwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na Bashiru Awale Raia wa Kenya alietengenezewa Cheti feki cha Kuzaliwa Dodoma ili awe Governor wa BOT Kama Ngoyai angefanikiwa jaribio la Wizi wa kura
 
Back
Top Bottom