PreGE2025 Ally Hapi: Tusikubali nchi iharibiwe na watu wachache

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,733
Reaction score
2,822
Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
Your browser is not able to display this video.
 
Kutaka Tume huru ili uchaguzi uwe wa haki ni kuharibu nchi?....
Huyu nae kachanganyikiwa...
Hivi hajui kuwa hiyo Tume huru itawasaidia hata wagombea wazuri kutoka CCM?...
 
Na yeye ni kati ya hao watu wachache walioharibu hii nchi.
 
anayekataa reforms na anataka reforms nani anataka kuharibu nchi katiyao
 
stupid burger, yeye ni mmojawapo wa wanaoharibu nchi, pumbavu mavi
 
Huyu shetani anadhani nchi ni mali ya baba ake, pumbavu kabisa utadhani kina nguvu
 
Kutaka Tume huru ili uchaguzi uwe wa haki ni kuharibu nchi?....
Huyu nae kachanganyikiwa...
Hivi hajui kuwa hiyo Tume huru itawasaidia hata wagombea wazuri kutoka CCM?...
Sio kuwa hawajui umhimu wa Uchaguzi huru na wa haki.Kuna kitu kinaficha.
 
Mwanao kakuomba soksi mpya tangu 1992!
Sio kwamba hela huna, vipaumbele vyako umewekeza kwenye matumizi ya anasa, na sasa unamuadhibu bila huruma kwa kukusema kwa ndugu zako kuhusu madhaifu yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…