Ally Hapi: Ripoti ya CAG sio hukumu ya mahakama

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,450
Reaction score
5,278
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi.

Akiongea leo June 22,2025 wakati wa mjadala wa Cafe Talk, Ally Hapi amesema “Kwanza taarifa ya CAG Watu wengi wakisikia inasoma wanadhani ni hukumu ya Mahakama kwamba wafuatao sasa wamekutwa na wizi na ufisadi hapana”

“CAG anakagua, akishakagua kule kuna Watu wanaambiwa lete risiti na vielezo ukichelewa yeye anaandika fedha hizi vielelezo vyake havikupatikana ndio maana ripoti anaikabidhi kwa Rais na inapelekwa Bungeni ili kuzipa Taasisi zilizotajwa na mapungu kuclear mapungufu ndio maana sisi tuliokaa Serikalini kuna kitu kinaitwa kufanyia kazi hoja za CAG”

Kwahiyo CAG anawaambia hapa mlipoiba nendeni mkatengeneze vielelezo ili muonekane hamkuiba.?
Kama walinunua kwanini hawakupewa risiti hadi waambie katafuteni risiti?
Mkuu wake keshasema wale kwa urefu wa kamba yao yeye anasahihisha nini?
 
🤔🤔🤔💭
 
Huwezi elewa kama haujui principles za audit
 
Repoti ya CAG Ina weka bayana yafuatayo:
1. Ufisadi wa wazi usio na shaka.
2. Kuna upungufu wa nyaraka kuondoa shaka ya kuwepo kwa ufisadi.
3. Kuna ubadhirifu wa mali ya uma kutokana na maamuzi au uongozi mbaya au dhaifu.
3. Matumizi ya mali ya uma kwenye miradi ambayo haikuidhinishwa. Japo hakuna ufisadi.
 
ndiyo maana muslim countries are poor and backward kwa maana hawaeelewi maana ya uchumi na jinsi ya kuendesha na kujenga nchi, sasa hivi wanafanya systematic destruction ya kila kitu, institutions ambazo ziliwekwa kwa makusudi zitusaidie wanazi question kwamba hazina maana na kuzibomoa …
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi.

Akiongea leo June 22,2025 wakati wa mjadala wa Cafe Talk, Ally Hapi amesema “Kwanza taarifa ya CAG Watu wengi wakisikia inasoma wanadhani ni hukumu ya Mahakama kwamba wafuatao sasa wamekutwa na wizi na ufisadi hapana”

“CAG anakagua, akishakagua kule kuna Watu wanaambiwa lete risiti na vielezo ukichelewa yeye anaandika fedha hizi vielelezo vyake havikupatikana ndio maana ripoti anaikabidhi kwa Rais na inapelekwa Bungeni ili kuzipa Taasisi zilizotajwa na mapungu kuclear mapungufu ndio maana sisi tuliokaa Serikalini kuna kitu kinaitwa kufanyia kazi hoja za CAG”

Kazi nzuri sana
 
Kwa lugha nyepesi anahalalisha ufisadi
Hapana, anavyosema ndiyo iko hivyo. Yaani zaidi ya 98% ya CAG recommendation ni compliance, in fact wizi ni sehemu ndogo sana. In fact Tanzania hatujafikia ufisadi kama wa Kenya au Uganda. Tuna mifumo mizuri. Hakuna anayeweza kula hela ya mradi
 
ndiyo maana muslim countries are poor and backward kwa maana hawaeelewi maana ya uchumi na jinsi ya kuendesha na kujenga nchi, sasa hivi wanafanya systematic destruction ya kila kitu, institutions ambazo ziliwekwa kwa makusudi zitusaidie wanazi question kwamba hazina maana na kuzibomoa …
Islamic countries unazozijua wewe ambazo ni poor ni zipi!
Mawazo ya kidini dini yamewatawala wazee wa Sunday school.
Shame on you,mada nyingine wewe umeleta ujinga mwingine
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi.

Akiongea leo June 22,2025 wakati wa mjadala wa Cafe Talk, Ally Hapi amesema “Kwanza taarifa ya CAG Watu wengi wakisikia inasoma wanadhani ni hukumu ya Mahakama kwamba wafuatao sasa wamekutwa na wizi na ufisadi hapana”

“CAG anakagua, akishakagua kule kuna Watu wanaambiwa lete risiti na vielezo ukichelewa yeye anaandika fedha hizi vielelezo vyake havikupatikana ndio maana ripoti anaikabidhi kwa Rais na inapelekwa Bungeni ili kuzipa Taasisi zilizotajwa na mapungu kuclear mapungufu ndio maana sisi tuliokaa Serikalini kuna kitu kinaitwa kufanyia kazi hoja za CAG”

Kwa maana nyingine amei dogosha ofisi ya CAG.Je huu ndio mtazamo wa ccm juu ya CAG,au ndio mtazamo wa serikali juu ya CAG?If so kama nchi tumeisha sasa naelewa kwa nini hata repoti yake haichukuliwi hatua stahiki.
 
Report ya CAG ni kati ya report za hovyo na za kitapeli, huwezi kuona jina la Waziri/KM/CEO/RC/RAS/DC/DAS/DED kwenye wizi na hawa ndiyo watu wa hovyo haswa.
 
Yeye anapolima pilipili na nyanya wakimpiga matenga kwenye kupakia mzigo anawachekea hao vijana wake kwa kuwa ripoti ya shamba sio ripoti ya mahakama.

Aache upuuzi
 
Kwahiyo CAG anawaambia hapa mlipoiba nendeni mkatengeneze vielelezo ili muonekane hamkuiba.?
Kama walinunua kwanini hawakupewa risiti hadi waambie katafuteni risiti?
Mkuu wake keshasema wale kwa urefu wa kamba yao yeye anasahihisha nini?
Umeshawahi kufanya kazi sehemu yeyote private sector au serikalini?
Umeshawahi kukaguliwa na ukatakiwa kuwasilisha nyaraka baada ya ukaguzi kujibu hoja?
1. Kuna hoja ya ukaguzi iliikuta chadema wamenunua gari na lipo field linapiga kazi lakini hawakuwa na Delivery note, issue siyo kuwa gari haipo bali waliichukua bila kupewa delivery note, unapata picha sasa itaishaje?
Vitu vingine mjifunze ili mjue, jielimishe.
 
Back
Top Bottom