Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, pamoja na ujinga na umasikini.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapi ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake, Rais Samia amesisitiza kuhakikisha Watanzania, mijini na vijijini, wanapata huduma za afya karibu na maeneo wanayoishi, ikiwa ni sehemu ya ajenda yake muhimu ya kuboresha sekta ya afya nchini.
"Baba wa Taifa aliwahi kusema kwamba tunao maadui wakubwa watatu. Ujinga, umasikini na maradhi. Yawezekana tuna maadui wengi lakini hao ni wakubwa watatu. Sasa Mheshimiwa Rais, Daktari Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa sana katika kupambana na adui maradhi. Katika kipindi chake cha miaka minne moja ya ajenda ambazo zilimsukuma sana, ni kuhakikisha Watanzania walioko mijini na vijijini. Kwanza wanapata huduma za afya karibu na maeneo wanayoishi."