Ally Hapi awa mbeba magunia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,221
Reaction score
98,176
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.
Your browser is not able to display this video.
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Hapi huyu huyu aliyewakejeli WASTAAFU kina KINANA na MAKAMBA?Kweli Wahenga walinena MDOMO ULIKIPONZA KICHWA bado MAKONDA aliyempiga Mzee WARIOBA
Your browser is not able to display this video.
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Inaonesha una uelewa mdogo sana kwenye kutafuta maisha. Mwalimu Nyerere pamoja na kuwa rais wa nchi bado alienda shambani.

Kuwa kiongozi hakumfanyi mtu kubweteka na kuacha kufanya shughuli binafsi za kumuingizia kipato! Hata ikiwa shughuli hizo zinatumia nguvu nyingi!

Hapo hakuna tatizo kabisa. Kama anaweza kuchoma mkaa yeye achome tu kuliko kuwa kama wengine wanaolalamikia serikali baada ya kustaafu au kushushwa vyeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…