mjepo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 4,913 Reaction score 919 Aug 17, 2014 #21 Naona tabia za bananga zimeanza kustukiwa sasa atafungwa kwa uhalifu wange siku zote za mwizi ni arobaini naona zake sasa zinafika tutamsahau tu.
Naona tabia za bananga zimeanza kustukiwa sasa atafungwa kwa uhalifu wange siku zote za mwizi ni arobaini naona zake sasa zinafika tutamsahau tu.
mjepo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 4,913 Reaction score 919 Aug 17, 2014 #22 storage said: Hawa kina Mchange na Mwigulu wanawadanganya tu hao wazee wa CCM waliojichokea kwamba wataiuw CDM kitu ambacho ni ndoto. Ukitaka kuimaliza CDM fuata misingi ya utawala bora na itekelezwe kweeli CDM itakuwa haina madhara otherwise CCM bye bye. Click to expand... Wewe mbona umejichongea hujisemi uzee wote huo bado katibu wa bawacha wa shina.
storage said: Hawa kina Mchange na Mwigulu wanawadanganya tu hao wazee wa CCM waliojichokea kwamba wataiuw CDM kitu ambacho ni ndoto. Ukitaka kuimaliza CDM fuata misingi ya utawala bora na itekelezwe kweeli CDM itakuwa haina madhara otherwise CCM bye bye. Click to expand... Wewe mbona umejichongea hujisemi uzee wote huo bado katibu wa bawacha wa shina.
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,181 Reaction score 27,781 Aug 17, 2014 #23 vita ya maCCM dhidi ya CHADEMA kwa kuwatumia poliCCM haitafua dafu!
tidav JF-Expert Member Joined Mar 31, 2013 Posts 262 Reaction score 40 Aug 17, 2014 #24 Ngoma inogile........ cdm ndo habar ya mjini.