Hata mm niliwah kuwa na tatzo kama lako ilikua nikirud home likizo chumban kwangu napga chafya had nakoma mimi nilitumia dawa flan za hospital zinaitwa nasal spray ilinisaidia kwa kwel saiv Hali hiyo nashukuru Mungu imepotea na pia jarbu kufanya mazoezi