nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Hey ndugu zangu, nawasalimu wote.
Binafsi nina allergy na vumbi pamoja na vitu vyenye harufu kali. Hata ikitokea nimeweka nguo safi kabatini lakini ikichukua muda mrefu pasipo kuivaa, siku nitakapoigusa ni balaa. Hata nikienda sehemu ambayo chumba cha kulala hakikutumiwa siku nyingi (let say, unaenda masomoni, ukirudi likizo home), nitaugua kwa wiki kadhaa.
Hapa nilipo mafua yamenibana sana kisa vumbi. Napata mawazo kwenye kulala itakuaje mana uwa nakosa pumzi kabisa.
Sasa swali langu kwa madokta, inawezekana kupona allergy yani nisipate hili tatizo kabisa mana ikitokea nipo ugenini inakua tabu kuchagua mara shuka za kulalia mara kitanda. Pia hii kitu inanikosesha raha kabisa.
Eti Mzizimkavu, na wengine wote wanaoweza nishauri, kuna dawa kweli hii kitu ikapona moja kwa moja?