Allan Shearer kuinoa Newcastle?

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Kuna tetesi kwamba Allan Shearer atapewa kibarua cha kuinoa Newcastle United hadi mwisho wa msimu huu baada ya Joe Kinnear kufanyiwa operation na kushindwa kurudi kazini mapema kama ilivyokuwa imetarajiwa hapo mwanzoni.
 
Kuna tetesi kwamba Allan Shearer atapewa kibarua cha kuinoa Newcastle United hadi mwisho wa msimu huu baada ya Joe Kinnear kufanyiwa operation na kushindwa kurudi kazini mapema kama ilivyokuwa imetarajiwa hapo mwanzoni.

...El Tel (Terry Venables) imekuwaje tena, si nilisikia walimu-approach awasaidie?
 
NEWCASTLE,are sleeping giants,hii team deserves better,mji wa newcastle una population ya 270,000 na at every home game 50,000 fans flock at st james park,fan base ni massive.NEWCASTLE hakuna wezi kabisa,only at the end of the season ndio kuna wezi,cause some fans need money to buy season tickets.shearer ni mtoto wa nyumbani,hence a welcome appointment,lets hope they stay in the premiership for a drop will be a disaster to the northeast.HIVYO kana- ka- nsungu huko tanzania yanga wanafundishwa na proffessor,hawa maproffesser nawasikia timu za africa tu mbona huku ulaya we never hear makocha ambao ni maproffesser?
 
Hii issue ni kweli, according to Sky sports, Newcastle watakuwa na news conference kesho kutoa tangazo hilo rasmi. Sijui hata kwanini Shearer amekubali this time, its a huge gamble, mechi zimebaki nane tu na wako kwenye bottom 3, next weekend ambayo itakuwaa ni mechi ya kwanza kwa Shearer itakuwa ni Chelsea.
 
Jamaa anachukua timu katika kipindi kigumu mno labda anaonyesha ni jinsi gani anavyoipenda Newcastle
Kwa upande mwingine ni vizuri kama watashuka daraja ili aanzie ukocha kwenye daraja la kwanza itampa uzoefu zaidi katika ukocha na mashabiki wa Newcastle watamkubali
 
Game zilizobaki za Newcastle
Home-Chelsea,Portsmouth,Middlesbrogh,Fulham
Away-Stoke,Totenham,Liverpool,Aston Villa
Kazi anayo ukicheki hizo game naona posibility ya kubaki ni ndogo mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom