Allan okello progress

Allan okello progress

Da Dona

Senior Member
Joined
Dec 16, 2025
Posts
141
Reaction score
140
20260120_155316-1170x1463.jpg

Marafiki wapendwa kutoka Tanzania, kijana wetu nyota anaendeleaje upande huo?
 
Anajitafuta bado anacheza pira mrenda.Hana fitness kabisa akiendelea hivi tutawarudishia.
 
Kocha anambakia nafasi isiyo yake. Acheze katikati #10 sio winga.
Huyu kocha alietukosesha robo final club bingwa asipotimuliwa wachezaji wengi wazuri watakuja wataonekana bure,na dogo kweli ataonekana bure. Kumbe kocha mfumo wake ni wa kujilinda tu.
Kenge zake huyu kocha
 
This could be the problem, Okello plays well when he has his freedom if they want to get results out of him, so sorry about your not qualifying in the next CAF Champions stage, you need a serious coach because Yanga is an international Club
 
Back
Top Bottom