Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji, Allan Okello ‘Star Boy’ kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Young Africans SC ya Tanzania
Soma Pia: Biashara ya Kishindo: Mauzo ya Depu na Okello Yainufaisha Yanga SC Shilingi Bilioni 4.6
Nyota huyo wa Kimataifa wa...
Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Tukubaliane kutokukubaliana, huyu jamaa wakuitwa Okello hana tofauti yoyote na Geofrey Bahati Mwashiuya.
Hype kubwa nje ya uwanja thenn uwezo mdogo ndani ya uwanja.
Mimi nilishangaa mchezaji mwenye uwezo aje kucheza Tanzania badala ya kwenda hata South Africa huko.
Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala wote wakawa wanagombea kutaka nafasi ya kupiga penalti.
Hivyo nahodha wao Khalid Aucho akaingilia kati na akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Okello apige penati, Okello alifunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.