Allah Akbar Yamtisha Rais Donald Trump

Allah Akbar Yamtisha Rais Donald Trump

Prukushani imetokea wakati Rais Donald Trump wakati akihutubia Mkutano baada ya mtu kutamka neno Allah Akbar. Ilibidi Rais Donald Trump ajaribu kukimbia kutoka jukwaani

Fake news.

Hiyo video imepandikizwa sauti iliyo feki.

Hilo ni tukio lililotokea akiwa bado hajawa rais. Lilitokea akiwa kwenye kampeni huko Ohio.

Video ambayo haijapandikizwa sauti hii hapa. Hakuna sauti za allah wala Mwamedi.

Na huyo jamaa aliyetaka kupanda jukwaani ni mzungu na si mwarabu.

Prukushani imetokea wakati Rais Donald Trump wakati akihutubia Mkutano baada ya mtu kutamka neno Allah Akbar. Ilibidi Rais Donald Trump ajaribu kukimbia kutoka jukwaani

Ni utani tu ndo maana imeadikwa for entertainment purpose
 
Prukushani imetokea wakati Rais Donald Trump wakati akihutubia Mkutano baada ya mtu kutamka neno Allah Akbar. Ilibidi Rais Donald Trump ajaribu kukimbia kutoka jukwaani

Mkuu,usiamini kila unachosoma kwenye gazeti,vile vile usiamini kila unachokiona kwenye mitandao,umekuwa mhanga wa ujinga...,kweli hujagundua kuwa hiyo sauti imepandikzwa,na hapo hapana mwarabu wote waliokuwepo hapo ni wamarekani kwenye harakati za kwenye kampeni za uchaguzi😀😀
 
WHATEVER! 🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀!
 
Mm naona siyo sahihi kufananisha uislamu na mambo mabaya kama vile ugsidi. Let's respect other people regions. Wangekuwa watu wabaya tusingeishi nao kwenye mitaa yetu. Let's love each others
 
Waarabu ndiyo walio kuwa wananunua watumwa wa kiafrica na kuwapeleka utumwani, jiulize ukienda uarabuni kuna waafrica wangapi kama ilivyo nchi nyingine za ulaya, yaani waarabu ni wahuni wa kuwaogopa.. hawa ni kuwakimbia tu
 
Back
Top Bottom