Allah Akbar Yamtisha Rais Donald Trump

Allah Akbar Yamtisha Rais Donald Trump

Waarabu ndiyo walio kuwa wananunua watumwa wa kiafrica na kuwapeleka utumwani, jiulize ukienda uarabuni kuna waafrica wangapi kama ilivyo nchi nyingine za ulaya, yaani waarabu ni wahuni wa kuwaogopa.. hawa ni kuwakimbia tu

Hujui ukisemacho mkuu, ni heri ukapiga kimya
 
Waarabu ndiyo walio kuwa wananunua watumwa wa kiafrica na kuwapeleka utumwani, jiulize ukienda uarabuni kuna waafrica wangapi kama ilivyo nchi nyingine za ulaya, yaani waarabu ni wahuni wa kuwaogopa.. hawa ni kuwakimbia tu

Waarabu hawakushiriki katika utumwa bali ni wazungu wakiwatumia waafrika wenyewe kuwanunuwa waafrika/watumwa...muwe munaelewa kidogo sio everything waarabu.
 
Mwenye akili timamu likitamkwa hilo neno hiyo sehemu hakai,anaetaka kufa nani?

George Bush alipotandikwa kiatu na yule punguani wa kii-Iraq si lilitamkwa neno hili,likitamkwa huwa haimaanishi amani ni kiashirio cha shari.
 
Hakuwa punguani kama unavyodhania, alikuwa na akili zake timamu,tatizo wazungu wamewateka akili waafrika.hilo ndiyo tatizo kwetu
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema ni jambo la heri na inaruhusiwa mimi kukupiga wewe usoni na kiatu changu nachoingia nacho maliwatoni pamoja na kukanyaga uchafu wowote halafu nionekane kiakili niko smart?

Huoni kama wewe ndiye uliyetekwa akili na waarabu mzee!
 
Kwani ajabu gani kumtupia nguruwe muuwaji anaeuwa watu wasio na hatia!!! Hata kama ni mimi ningemrushia hata mavi mammaee,

Kuhusu kutekwa na waarabu, waarabu ni watu wema na dini yao inawafunza waishi kwa amani ndiyo maana roho zao na zakwetu different kabisa na hata hao nguruwe/wazungu.

Ndiyomaana wazungu wanatuita manyani wala ndizi, ulishawahi ona mwarabu ametuambia neno baya? Just think be4 u post!
 
Tatizo uislamu unatumika na magaidi na ninyi mnakubaliana, wakati uislam ni dini ya kistaarabu na ya kuheshimu watu wengine. Sasa komaeni na hayo magaidi yenu
 
Magaidi wametengenezwa na hao hao wazungu ili kuudhalilisha uislamu ambayo ni dini yakweli na yahaki.
 
Kwani ajabu gani kumtupia nguruwe muuwaji anaeuwa watu wasio na hatia!!! Hata kama ni mimi ningemrushia hata mavi mammaee,

Kuhusu kutekwa na waarabu, waarabu ni watu wema na dini yao inawafunza waishi kwa amani ndiyo maana roho zao na zakwetu different kabisa na hata hao nguruwe/wazungu.

Ndiyomaana wazungu wanatuita manyani wala ndizi, ulishawahi ona mwarabu ametuambia neno baya? Just think be4 u post!
Umesemaje wejamaa!!?
Mwaka jana Yemen kilichomtokea yule mtoto wa Kirangi hukukisikia?alisukumizwa ghorofa ya nne kilichompata alirudishwa bongo ndani ya sanduku,tena aliyemfanyia hivyo ni mwanamke mwenzake

Unasema siyo wabaguzi?jamaa yangu Mpemba na uarabu koko wake na sijgda kubwa usoni alinyang'anywa passport akiwa airport Dubai wakaitana staff wote waje kumshangaa na kumcheka!

Wote siyo wema but tusiyatetee maovu yao ndicho nachotaka kusema.
 
Trump kaanza lini uoga? naomba nikumbushwe please
 
Umesemaje wejamaa!!?
Mwaka jana Yemen kilichomtokea yule mtoto wa Kirangi hukukisikia?alisukumizwa ghorofa ya nne kilichompata alirudishwa bongo ndani ya sanduku,tena aliyemfanyia hivyo ni mwanamke mwenzake

Unasema siyo wabaguzi?jamaa yangu Mpemba na uarabu koko wake na sijgda kubwa usoni alinyang'anywa passport akiwa airport Dubai wakaitana staff wote waje kumshangaa na kumcheka!

Wote siyo wema but tusiyatetee maovu yao ndicho nachotaka kusema.

Sikubaliani na wewe mkuu, ulichokisema hakina ukweri wowote. Waarabu ni watu wazuri mno nimeishinao sana tu.
 
Back
Top Bottom