all those gud dayz... duh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

all those gud dayz... duh!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Fredwash, Sep 28, 2010.

 1. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  View attachment 14359

  OOOH! i remember wen dayz had its charming..... siku hizi hii mi tekinolojia yenu imeharibu mambo kabisa..... mwenyewe nilimvizia natasha njia ya shule nikampa hii barua... anyway usiulize jibu ilikuwaje... nadhani ushajua vinginevyo nisingekuwa nayo hii barua ss hv. anyway kwa kuwadokezea aliniambia if i will keep being troublesom then..... i will hv to ans... to his bro
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hahhaha lol
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tehe zile zama bana zilikuwa mwake asna. Baada ya kumaliza LY au darasa la saba nilikuwa home tu wakati ule hakuna cha pre form on sijui basi kuna katoto nilikuwa nafukuzia wadau morogoro huko. nilifukuzia km miezi sita hivi so ikaja day moja hivi kwao kukawa na NGOMA ya kumtoa mwali ambaye ni dada yake. huyo demu alikuwa ndo yupo std seven na mie nimeua LY. Siku ya ngoma akamtuma rafiki yake aje aniambie niende kweye ngoma tutaonana usiku. Yap mambo nikajua si ndo leo natafuna mzigo, nikajikoki sawa sawa, piga jeans, raba nyeupe na tshirt yangu ya ijani halafu kichwani nna panki refu la kutisha nimelichana nywele zinameremeta. hio ilikuwa 1988. bwana kama sa ne hivi nikatinga ngomani pale nikamwona amekaa yeye na dada zake wawili na bibi yeke, hapo mwali ndo katoka ngoma zimepamba moto. Yule rafiki yake aliponiona nimetinga pale akawa yuko excited, akanza kucheza ngoma akaja mpaka pale nilipokuwa na mshkaji wangu mmoja hivi akiitwa pele, huyu jamaa alikuwa anatokea huku dar sijui kafia wapi yule bazazi alikuwa km specialist wa totoz, jamaa alikuwa haakosi akiomba. basi mie namtuma tu sshosti yake namwambia kamwambia aje basi aende, anaenda, akirudi anasema anamwogopa bibi suniri bibi aende kulala, kumbe bibi kaaishtukia ile muvi, alichofanya akachukua sketi ya yule demu akaifunga fundo na kanga yake halafu akamwambia sauda usiku mwema wewe ndo utakayeniamsha ukiondoka tu hapa unaniamsha DAH usiku ulikuwa mrefu na home nilikuwa nimetoroka, siruhisiwi kabisa kutembea usiku. kilichobaki nikaenda kweye nyumba ya jamaa tulipiga nae skuli hapo std seven nikaangusha gari hadi saa kumi na moja ile naamka, nasikia kelele za mahaba nawasha tochi namkuta jamaa yangu PELE anatafuna yule mwali Dah nilidata nikabaki na KIJELA CHANGU hahahha
   
 4. p

  p53 JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  peleka jukwaa la mahusiano,itajadiliwa vizuri!
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Throwback days, au siyo? Siku hizi ni meseji kwa kwenda mbele
   
Loading...