Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,655
Kwa miaka 39 hatukuwahi kuingia kwenye mashindano ya Afcon...now tumepata nafasi...naona watanzania wanaiombea vibaya timu yetu...kweli sisi watanzania Ni pasua kichwa...Mungu atusamehe tu....nahisi tuna ka asilimia ka ukichaa... anyway mada yangu Leo Ni kuitakia timu kila lililo jema iweze kuipiga Kenya.
Bado naamini tuna nafasi ya kusogea mbele...Kila la heri Taifa Stars!!!
Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu ibariki Tanzania!!!!!!
Bado naamini tuna nafasi ya kusogea mbele...Kila la heri Taifa Stars!!!
Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu ibariki Tanzania!!!!!!