luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,802
ahaaaa anyway sikupendezwa na formation walioitumia dhidi ya Senegal, nachojua formation inabadilika kutokana mpinzani wako.If you decide, you still can!
Unawaza nini?? Share nasi hapa maana wengine wanazo direct contacts na baadhi ya wachezaji, you never know unachokiwaza kinaeza kikafikishwa na ukawa umelisaidia taifa
Mpira kama ule ambapo una wachezaji wazoefu nilitegemea atumie 4, 2, yaan mbele wa 4 badala yake walicheza mbele wa 2.
Ndio maana samatta hakuonekana , mpira ukija watu hawapo hawapo which means kuna watu hawatimizi majukumu yao.
Kama uliona match ya Qatar vs Argentina, wale waarabu waliwaendesha akina mess speed ya ajabu sana. Mpira ulichezwa ktkt mwanzo mwisho, maana yake probability ni kubwa mpira kwenda lango zote, Argentina walishinda kwa taabu sana ( f, 2,3,2)
Afu kuacha watu wazoefu akamchukua fei, na akashindwa kumtoa mapema sana sikupenda.
Anyway mi sijui mpira ki viile, hope leo tutapata raha.