Kwa wale wapenzi wa man united
si haba kuwishiana all the best kabla a massaa machache ya jayo kuingia etihad
natumaini mtajitahdi hata draw basi kupunguza kale ka gepu pale juu
wachaga wanasema
kyiiiiiiikyo mbora wose

Waliocheza wote wamesajiliwa na Man City tena kwa pesa nyingi. Hata wangekuwepo hao uliowasema sidhani kama wangebadili matokeo. Pamoja na hayo Man City wamecheza vizuri