ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Ha ha haaaaaaaa! Sasa kama maujuzi yalikuaga balaa kwanini uliachia ngazi?

I am always a Killer,
Hit (Eat) and Run.
Hua siweki kambi, may be kwako MwaJ.
 
Hilo nalo neno Madame B!!
Ila relations zinahusika hapa MMU zaid kuliko popote.
Kule kwengine anaweza kuwapata wanasiasa wakaishia kupigana siasa tu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe unaongeaga na wanaume wangapi? Hii ngoma ingine mamito, nitakurudisha kijijini ukiwa jembe la mkono kama sio ng'ombe ya kulimia. Wewe endelea tu!

Duh! Iko kazi! Naongea na wanaume wengi sana. Btw kijiji gani hicho utakachonirudisha?
 
Hilo nalo neno Madame B!!
Ila relations zinahusika hapa MMU zaid kuliko popote.
Kule kwengine anaweza kuwapata wanasiasa wakaishia kupigana siasa tu.

Mapenzi yana nguvu kuliko kitu chochote chini ya jua.
Unaweza ukaamini Kibaki na ghadhabu zote zile na Urais wake,lakini akimuona Lucy ananywea wakati ni mke mdogo?
 
huyu anataka eti niwe na siksi paksi....well zikikubali ntakuwa double zikikataa basi ntakuwa singo...give me a month ntakuwa nshajua......michemsho hiii khaaa!!
 
Baba V- divorced once and for all!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…