Ahsante mwalimu.... Najisikia kama nimekaa pembeni ya Simon Petro tukimwimbia Mungu mapambio. Chezeya msamaha?duh!snowite love this!haya bana!mekusamehe bure!
Ahsante mwalimu.... Najisikia kama nimekaa pembeni ya Simon Petro tukimwimbia Mungu mapambio. Chezeya msamaha?
Nakulipa na faini kabisa, kama una risiti.
[/QUOTE)duh !unafikiri hapa naruka kamba!?
Complicated!
What Amyner? please specify what kind of complicated you are?
I cant tell what my status is currently! Mmh acha tu A1!
mkaka single
Wanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku hapa.
"UKWELI HUMWEKA MTU HURU KABISA."
Naanza mimi:
Bampami-Male-Single
Tiririka na wewe sasa...