when it comes to forums chitchat is a cut above the rest,hapa hakuna cha privacy wala anonymity,we tell it as it is.
Umenichekesha.................nakukaribisha.............ila viswahili vingi sitaki, straight to the point, nafikiri tumeelewana
Hapana nilikuwa namkumbusha tu, na kuwataarifu wengine; maana wanaweza kuhisi yuko available. LOL
I knew it.kongosho - Triplets
Na hawa status yao ikoje?Hivi na mie nikoje??
Ujue sijui status yangu??
Poleeee sana,ila na mi niko karibu kukuunga mkono maanake naona wangu ana dalili zote zakunipiga kibuti.Babarita-kibuti
Na hawa status yao ikoje?
Afu leo ndio nimejua kumbe wewe siyo bikira...... Naenda kusema kwa mama...Poleeee sana,ila na mi niko karibu kukuunga mkono maanake naona wangu ana dalili zote zakunipiga kibuti.