all blackberrys phone

all blackberrys phone

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
Any one who need any type of blackberry email me on emilrama@gmail.com or txt me on 0713079282
 
nahitaji blackberry bold, bei ni sh.ngapi?
UnatAka bold ipi? Sasa unamwambia m2 bold only atakuelewaje? Then number nimetoa hapo so kama unahitaji text me or email me.
 
nahitaji blackberry bold 9900. sh ngapi na nitaipataje, niko arusha
 
Mbona muuzaji mkali!!! Customer care mazee!!! We kama unazo weka aina na bei zake!!
Na pia useme kama ni mpya au zile wanazolizwa wasauzi!!!
 
Mi naogopa kuuliza! Manake sizijui hizo aina za bb! Nipite tu.
 
Dah, huyu muuzai balaa; ana hasira vibaya na wateja wake wakati huo hawezi kumarkate bidhaa zake! Ameshindwa kuweka aina ya simu alizonazo, picha, bei nk anataka kupigiwa simu kama vile yeye ndy ajenti pekee wa bb hapa bongo=KIMEO!:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
hauzi lolote JIZI kubwa kabisa hili linataka kuibia watu tu ..unalipigia simu linakata email hajibu si ubwabwa huo sasa...u
umenipigia saangapi nkawa sipokei and email mbna cjaona?
 
Kama Picha imekushinda si ungeweka tu hata jina na bei ili kupunguza maswali?
Afu Huduma kwa mteja mbovu hapo hata hajanunua, je itakuwaje "Aftersale services"?
 
huyu si ndo dogo anayeuza lamborghin bilioni 1.9... Kuanzia leo jaman msifuatilie post za huyu mtoto.. nahisi bado ana akili za kitoto.. mara anataka kujua bei ya LUXURY hotel huko mbezi wakati ndo anapoishi.. mara anauza blackberry.. yaani we ukimuuzia blackberry na ye anakuja kutangaza humu ndani.. tena kwa machejo kweli kweli wakati ameuziwa humu humu.. Tafadhari we mtotot hmu ni ma"great thinkers tuuu.. sio great sinkers.. hamia kwenu FACEBOOK kwa watoto wenzio.. japo na penyewe wapo watu a akili zao..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom