Nimeona wote humu ndani tumeshazoa habari mbaya, ndiyo tunaona kama ndio NEWS.
Mara ufisadi, mara maalbino, mara hakuna action taken, yote yanaishia hewani.
Nimeona kuwa tunachakaza akili zetu.
Please tuweke hapa habari za kitanzania ambazo zinatufanya tujisikie vizuri, tuwe proud na nchi yetu, tuhabarishane watendaji wazuri, ofisi iliyofanya kitu cha kusifiwa (bila kinyongo, wala hiden agenda)
Wako watendaji wazuri tu hapa TZ, tena wengi na waadilifu, wenye kuenda extra mile.
Kuna utendaji unaoonekana wazi wa kutufanya watanzania tuongeze imani na nchi yetu na baadhi ya viongozi tunaowachagua.