Aljeera sports

Aljeera sports

Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,197
Reaction score
611
Wadau Aljazeera sports imenigomea ambaye anajua ni kwanini anijulishe tafadhali imeandika maandishi ya kiarabu.
 
kwenye simu smart au Tv ?
aljazeera sport wamebadiri frequency kwenye satellite ya nilesat kwa hiyo kwa sasa hawapatikani kwenye TV. Maarko subiri wataalam wa satelite labda wanaweza kuja na solution.
 
Tunahitaji hizo frequency mpya kwenye nilesat
 
sasa hapo ndo balaa. Dstv wanaroho mbaya sana hawa makabulu
 
Back
Top Bottom