The Premier League is pleased to announce that Al Jazeera Sport has been awarded the exclusive broadcasting rights in Middle East North Africa for all 380 Barclays Premier League matches per season for the seasons 2013/14-2015/16.
Mbona Mwanza Tangu msimu uliopita tunapata EPL live kupitia Aljazeera Sport karibia mechi zote (Mwanza Satelite)
Unaipata kupitia mwanza satelite?? Sijakuelewa hapa... Au nifafanulie unaipataje mkuu..
Ushaambiwa north africa and middle east,sasa cjui ambacho hakijaeleweka hapo ni nini? hakuna mkato kwa pande zetu lazima supersport pekeeHii ni kwa mujibu wa tangazo kutoka EPL
Mbona Mwanza Tangu msimu uliopita tunapata EPL live kupitia Aljazeera Sport karibia mechi zote (Mwanza Satelite)
washapokonywa mkatyaba hao, mombo yote ipo aljazeera.kama unataka kufungiwa hilo dish lenye uwezo wa kuonyesha abudhabi sports,, kuna jamaa namfahamu yupo kkoo,, unapiga mechi zote za epl mpaka zile za kombe la mbuzi ( capital one) na malipo yake huwa ni dola 100 kwa mwaka
itakua ni cable si unawajua cable kwa mbwembwe
Siye wa Morogoro twapata kila EPL na UCL kupitia ABOOD TV,teh,teh teheeh!
abood! Chenga zote hizi ndugu yaha unashindwa kujua mpira uko wapi. Ungo na rcva ni zaidi ya yote.