G gmail mkulima Senior Member Joined Jun 11, 2017 Posts 186 Reaction score 114 Jun 18, 2017 #1 Wakuu naomba nina gunia 80 za alizeti sasa naomba kujua kama naruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya nasikia huko bei nzuri mwenye uelewa na haya mambo naomba a nisaidie. Na kama naruhusiwa kuvusha bonda namanga ushuru ni shiringi ngapi.
Wakuu naomba nina gunia 80 za alizeti sasa naomba kujua kama naruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya nasikia huko bei nzuri mwenye uelewa na haya mambo naomba a nisaidie. Na kama naruhusiwa kuvusha bonda namanga ushuru ni shiringi ngapi.
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Jun 18, 2017 #2 Mkuu ukisubiri kuruhusiwa ukisubiri sana. Nch hii wajuaji sana na were tembelea humo humo kwenye ujuaji. Kama inawezekana tafuta njia za panda upele ke mzigo upiget pesa mkuu. Huku nch nzima wapo busy na makinikia
Mkuu ukisubiri kuruhusiwa ukisubiri sana. Nch hii wajuaji sana na were tembelea humo humo kwenye ujuaji. Kama inawezekana tafuta njia za panda upele ke mzigo upiget pesa mkuu. Huku nch nzima wapo busy na makinikia