Aliyoyasema Rais Kagame kuhusu Rais Magufuli

Aliyoyasema Rais Kagame kuhusu Rais Magufuli

Sijaelewa nahitaji kueleweshwa na kuelimishwa...
Kwani Rais wangu mpendwa JPM ana asili ya Rwanda {"You are in your brother's place"}? Which brother's?..Your words,deeds reflect our vision..{which vision?}...

Okei, iko hivi, hapa kwenye: You must know, first of all, you are in your brother's place.

In other words, dude! Please, iam the King here, dont try to take over, stay in your place and let me run the show!

Just joking!
 
Again... Again analia lia... Kuuwana wameuana wenyewe !! Sasa ya nini kutukumbusha...
hizo ni mbinu za kiyahudi kuomba HURUMA kitaifa!! (wanapenda kukimbilia majanga yaliyo wapata) !!

the same night, 22 years ago when what is not easy to describe happened to our nation.

The effects of what happened 22 years ago still ring bells in our mind,hearts and our homes. What happened here 22 years ago will never happen again.
Ilikuwa ni muhimu agusie sababu ilikuwa ni ratiba ya jpm kutembelea, so sioni ubaya/ kasoro ya yeye kugusia
 
Mwanzo mambo huwaga mazuri sana
images
a
Maslahi binafsi yanapogongana mambo hugeuka..tena ghafla
images
Unapokula na kipofu kaa mbali na kichoteo chake cha msosi
 
Ilikuwa ni muhimu agusie sababu ilikuwa ni ratiba ya jpm kutembelea, so sioni ubaya/ kasoro ya yeye kugusia
Kwa uweleo wangu..
Huwezi kumkaribisha mgeni ukaanza kumlilia au kumlalamikia ndugu aliniulia nami nikauwauwa!!! TANZANIA ipo jirani na ilishuhudia yote na ikawapatanisha !!
kiungwana na kistaarabu hiyo siyo pake!!!
Still tunawapendelea Amani na maendeleo....
 
Asijie tu akaiga au kuambukizwa negative deeds za Kagame .. kama vile kuzuia upatikanaji huru wa habari, mauaji ya wapinzani wake, au kujiongezea vipindi vya kuongoza nchi kutoka viwili hadi infinity.
 
Okei, iko hivi, hapa kwenye: You must know, first of all, you are in your brother's place.

In other words, dude! Please, iam the King here, dont try to take over, stay in your place and let me run the show!

Just joking!
acha porojo wewe gamba lililokubuhu
 
Unapokula na kipofu kaa mbali na kichoteo chake cha msosi
Wanakwambia wataalamu wa mahusiano ya kimataifa
'' Keep your friends close ,and your enemies closer..'' Kwa sasa sijui nani anahatarisha maslahi yetu..Kagame au Kenyatta..?
 
Tuwekee basi na Maneno aliyosema mzee wa majipu ili tuchambue vizuri hotuba zote mbili au vipi mkuu
Mnaacha kujadili vitu vya msingi walivyoongea ma rais wetu mnachambua lugha ambayo kwanza sio your mother tongue,. Hii ngozi nyeusi hii kama sio laana sijui ni nini.. Wachina, warusi, wafaransa, wajerumani, waarabu kujua au kutojua kiingereza sio big deal.. Ila ngozi nyeusi sasa ni majanga.."emancipate ourselves from mental slavery" , eboo!
 
Sijaelewa nahitaji kueleweshwa na kuelimishwa...
Kwani Rais wangu mpendwa JPM ana asili ya Rwanda {"You are in your brother's place"}? Which brother's?..Your words,deeds reflect our vision..{which vision?}...
Hizi division 5 nazo ni majanga, brother au comrade au ndugu(enzi ya mwalimu-rip) ni neno la kirafiki kidugu linaloonyesha ukaribu sio udugu wa damu kama mapumba yako kichwani yalivyowaza.waafrika wote ni ndugu au kaka au dada au ni wamoja tatizo liko wapi hapo kwa PK kumuita JM brother??bongolala kweli wewe!
 
President #Kagame : We will always encourage good relations between our two countries. #Rwanda #Tanzania
 
"You must know, first of all, that you are in your brother’s place.

Since you were elected, you presence has been refreshing. Your words & deeds reflect our vision. Your stance against corruption is very refreshing.

We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity because that is what we deserve.

We thank you for being with us tonight, the same night, 22 years ago when what is not easy to describe happened to our nation.

The effects of what happened 22 years ago still ring bells in our mind,hearts and our homes. What happened here 22 years ago will never happen again.

Rwandans who rebuilt their lives are as committed as I am to make sure it never happens again."

- President Kagame speaks at the official dinner hosted in honour of President Magufuli.
Safi sana. Inapendeza mno!
 
Aliyeongea ni jpm au kagame mkuu!!!!?
Mkiambiwa mbumbu kazi kumcheka rais hajui lugha jamaa kawekea link ambayo ya cloudsound ina hotuba zote mbili bado mnauliza mambo ya hotuba. Hatari kweli
 
Back
Top Bottom