Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Immposibo.. hakuna..Nia zao zilikuwa ovuu,, Kusudio lao ilishapangwa na kutunguwa ndege lilishafanyiwa mazoezi na majaribio!! FOREVER watabaki kulia lia......Ni usiku wa terehe 6 Aprili mwaka1994, ndege iliyokuwa imewabeba hayati Rais Juvenal Habyarmana na mwenzake wa Burundi Cyprien Ntaryamira ilidunguliwa. Na wote walikufa that's why alikumbuka kila kitu kuhusiana na mauaji ya kimbari
yeye sialikuwa porini.....